Wednesday, October 24, 2012

Ed Wooward makamu mwenyekiti wa klabu ya manchester united amessisitiza kwamba klabu hiyo pamoja na wamiliki wake familia ya glazer wapo kwenye mchakato wa kumtafuta kocha ambaye atakuwa mbadala wa sir alex ferguson japo suala hilo linaweza kukamilika mpaka sir alex ferguson atakapo tangaza kustaafu kuifundisha manchester united

Sir Alex Ferguson: Yet to put a date on retirement

No comments:

Post a Comment