nahodha wa klabu ya liverpool na timu ya taifa ya uingereza steven gerrard ameibuka na kujibu kauli ya mshambuliaji wa PSG zlatan ibrahimovic, zlatan amemtaka gerrard kutafuta klabu kubwa tofauti na liverpool ili kulinda uwezo wake na kucheza soka kibiashara lakini kiungo huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 32 amesema hawezi kuihama klabu hiyo kwani ni moja ya klabu zenye historia kubwa ulaya na dunia kwa ujumla ikiwa imenyakua kombe la klabu bingwa ulaya mara tano.
No comments:
Post a Comment