Friday, November 16, 2012
wekundu wa msimbazi simba kupitia kwa uongozi wake umevunja tawi la mpira pesa kutokana na sababu zinzofahamika kuwa za kiutawala zaidi kwa kipindi cha WIKI kadhaa sasa klabu ya Simba imekuwa katika mgogoro kutokana na kufanya vibaya katika ligi kuu ya Vodacom lakini kauli kutoka kwa mwenyekiti wa klabu hiyo Ismail Aden Rage ni kwamba tawi hilo lionaweza kujisajili tena upya, kwa mujibu wa mwenyekiti huyo ni kwamba tawi hilo linahusiks katika kusababisha kambi hiyo ya msimbazi kuwa na migogoro mingi kutokana na kuhimiza wanachama kuwaengua viongozi hao madarakani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment