Sunday, October 28, 2012
klabu ya chelsea imeambulia kipigo cha goli 3-2 dhidi ya mashetani wekundu manchester united lakini gumzo ni kuhusu kadi mbili nyekundu walizopewa wachezaji wa chelsea branslav ivanovic pamoja na fernando torres ambapo refarii wa mchezo huo mark clattenburg ametuhumiwa na wachezaji wa chelsea kuwa alikuwa akitumia lugha mbaya katika suala zima la kuwasiliana na wachezaji ndani ya uwanja na hasa jambo hilo alilifanya upande wa chelsea baada ya mchezo kumalizika kiungo mkabaji wa chelsea john obi mikel alimfata refarii katika vyumba vya kubadilishia nguo na kuweza kumlalamikia juuu ya kile kinachosemekana kuwa ni maamuzi mabovu ya mchezo huo msemaji wa klabu ya chelsea amesema kuwa tayari malalamiko juu ya muamuzi huyo yameshapelekwa katika bodi ya FA na sasa kinachosubiriwa na maamuzi ya bodi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment