mchezo ukiwa ni mapumziko mpaka sasa borussia dortmund na real madrid wapo sare ya goli 1-1 goli la dortmund likiwekwa kimiani na mpoland robert lewandowski mnamo dakika ya 36 ya mchezo wakati lile la kusawazisha la real madrid limewekwa kimiani na nyota cristiano dos santos aveiro ronaldo mpaka mapumziko drtmund1 madrid 1
No comments:
Post a Comment