Saturday, November 10, 2012
nyota wa zamani wa spurs pamoja na klabu ya manchester united mbulgaria dimitar berbatov ameibuka na kupinga vikali madai ya kuwa alikuwa mvivu na mtu asiyependa kujituma wakati akiwa na kikosi cha mashetani wekundu man united ``kila mtu anakubali uwezo wangu nimemaliza nikiwa mfungajo bora wa ligi katika msimu wa 2010-2011 lakini muda wote nimekuwa nikikaa na kutumika kama mchezaji wa akiba nachoamini ni kwamba nimeondoka old trafford nikiwa nimevimba kichwa kutokana na mafanikio na mchango niliotoa kwa klabu``amesema dimitar berbatov kwa sasa nyota huyo anakipiga katika kikosi cha fulham ambapo mpaka sasa ameshafumania nyavu mara 3 katika michezo 5 aliyoanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment