Tuesday, November 6, 2012

refarii mark clattenburg hatochezesha mechi za wikiendi hii kwa mara nyingine tena kutokana na kukisaidia chama cha soka cha uingereza FA pamoja na kituo cha polisi cha metropolitan juu ya uchunguzi wa kashfa ya ubaguzi wa rangi anayotuhumiwa dhidi ya kiungo wa chelsea john obi mikel katika pambano ya manchester united na chelsea lililofanyika october 27 stamford bridge

Mark Clattenburg: Due to meet with both the FA and police

No comments:

Post a Comment