Friday, November 9, 2012

winga wa manchester united luis nani atakuwa nje ya uwanja kwa siku kumi kutokana na kusumbuliwa na nyama za paja kocha wa man united sir alex ferguson amethibitisha kuwa luis nani ataukosa mchezo dhidi ya aston villa katika dimba la villa park

Nani: Out for 10 days with a pulled hamstring

No comments:

Post a Comment