Friday, October 26, 2012

beki mkongwe wa klabu ya manchester united rio ferdinand huenda akajiunga na klabu yake ya zamani ya westham united aliyoichezea michezo 150 kabla ya kutimkia leeds united mwaka 2000 na baadaye kujiunga na mashetani wekundu wa old trafford rio anamaliza mkataba wake na united mwishoni mwa msimu ujao na hakuna dalili ya kuongezewa mkataba mwingine old trafford licha ya sir alex ferguson kutoa kauli kwamba angehitaji rio aendelee kubaki united lakini kauli ya kocha wa westham united sam allardyce ni kwamba wanaangalia mwenendo wa ferdinand kama atatka kurudi katika klabu yake ya zamani jambo ambalo wanamichezo wengi hupenda kulifanya mara wanapoelekea kustaafu soka uamuzi huo unaweza kuwa na faida kwao kama klabu

Rio Ferdinand: Offered West Ham return

No comments:

Post a Comment