Sunday, October 28, 2012

buyern munich imepokea kipigo cha goli 2-1 dhidi ya buyern leverkusen goli la buyern munich likiwekwa kimiani na mcroatia mario mandzukic huku jerome boateng akijifunga baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa kutoka winga ya kulia

Late own-goal stuns Bayern

No comments:

Post a Comment