Sunday, October 28, 2012

goli la 3 la manchester united lililopachikwa na javier hernandez chicharito katika dakika ya 75 limeleta utata kuwa ni goli la kuotea(offside goal) vyombo vya habari vingi nchini uingereza vimemshutumu mwamuzi wa kati wa mchezo huo pamoja na mshika kibendera kwa kukubali goli la chicharito ambalo lilikuwa la wazi lakini tamko kutoka kwa makocha wote wawili sir alex ferguson pamoja na roberto di matteo ni kwamba ferguson ametoa tamko kuwa kadi mbili nyekundu walizopata wachezaji wa chelsea ndio msingi wa ushindi wa man united japo kwa upande mwingine wa shilingi muitaliano roberto di matteo yeye amemwagia zigo la lawama mwamuzi wa kati wa mchezo huo kuwa ndiye aliyeiangamiza chelsea kwa kutoa maamuzi ya uonevu juu ya kikosi chake

Javier Hernandez goal Manchester United v Chelsea 2

No comments:

Post a Comment