Wednesday, October 24, 2012

familia ya ferdinand ikiongozwa na rio pamoja na anthony ferdinand wameilalamikia FA pamoja na PFA juu ya ucheleweshwaji wa kuchukuliwa hatua kwa wahusika wa ubaguzi wa rangi akiwamo nahodha wa chelsea john terry lakini pia wamelalamika juuuu ya adhabu inayotolewa kwa wahusika wa ubaguzi wa rangi kuwa ni ndogo kulingana na uzito wa kosa familia hiyo imetoa shukrani kwa mashabiki na uongozi wa klabu mbili za QPR na MAN UNITED kwa sapoti waliyoitoa juu ya suala la kubaguliwa kwa anthony ferdinand

Rio and Anton Ferdinand: Have expressed their disappointment with the 'actions' of the FA and PFA

No comments:

Post a Comment