nahodha wa chelsea john terry anaweza kujiunga na klabu ya valencia inayokipiga katika ligi kuu ya nchini hispania maarufu kama laliga hii ni kutokana na taarifa za wakala wa mchezaji huyo kuwa tayari kuna mazungumzo ya chinichini yanayoendelea kati ya klabu ya valencia na john terry ikumbukwe kuwa john terry yupo katika wakati mgumu stamford bridge baada ya kufungiwa mechi nne za ligi kutokana na kashfa ya ubaguzi wa rangi dhidi ya beki wa QPR anthony ferdinand
La Liga outfit Valencia say an agent has offered them the services of Chelsea skipper John Terry
No comments:
Post a Comment