Wednesday, October 24, 2012

goli kipa nambari moja wa liverpool pep reina anatarajia kukosa mechi ya wapinzani wa jadi kati ya liverpool na everton kutokana na kuwa na maumivu ya nyama za paja liverpool itasafiri hadi uwanja wa goodson park kupambana na everton ambao wapo nafasi ya nne katika msimamo wa EPL liverpool na everton zote zinatoka katika jiji la liverpool katika kitongoji cha merseyside na hiyo waingereza wanaiita merseyside derby!!!!

Jose Reina: Faces race against time to play in Sunday's derby

No comments:

Post a Comment