Wednesday, October 24, 2012

dunia itasimama kwa dakika 90 kupisha vipute vya mabingwa wa ulaya huku macho na masikio ya wengi yakiwa kwenye mechi kali kati ya borussia dortmund dhidi ya the blancos real madrid wakati arsenal inayoongozwa na santiago carzola lucas podolsk pamoja na gervinho itapambana na schalke 04 katiaka uwanja wa emirates man city inavaana na ajax wakati Paris saint germaine inavaana uso kwa macho na dinamo zagreb

Champions League - all the build up LIVE

No comments:

Post a Comment