Wednesday, October 31, 2012
kocha wa chelsea roberto di matteo amesema ana shangazwa na uteuzi wa majina ya wachezaji wanaogombea tuzo ya mchezaji bora wa ulaya di matteo ametoa kauli hiyo kutokana na kukosekana kwa majina ya kutosha ya wachezaji wa chelsea ambao ndio mabingwa wa kombe la klabu bingwa barani ulaya msimu uliopita japo jina la ngulin didier tebily yves drogba lipo katika orodha ya wachezaji wanaogombea tuzo ya mchezaji bora wa ulaya lakini wakati huohuo ni kwamba muitaliano huyo mwenye umri wa miaka 42 amechaguliwa kuwa moja kati ya makocha 10 walio kwenye orodha ya kugombea tuzo ya kocha bora wa mwaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment