kutokana na kitendo cha emmanuel adebayor kuonesha nia ya kutaka kutimka whiye hart lane katika kipindi cha dirisha dogo la usajiri mwezi januari kocha wa timu hiyo andre-villas boas ameibuka na kutoa tamko kuwa adebayor hawezi kuondoka klabuni hapo kitu cha msingi ni kuwa mvumilivu katika kipindi hiki ambacho spurs inatumia mfumo wa kuwa na mshambuliaji mmoja ambaye ni jermaine defoe
No comments:
Post a Comment