kocha wa arsenal arsene wenger ametoa tahadhari kwa vijana wake kuwa makini dhidi ya timu iliyo katika kiwango kizuri schalke 04 ya ujerumani huku tahadhari kubwa ikiwa kwa mshambuliaji raia wa uholanzi klaas-jaan hunteelar arsenal wanakutana uso kwa uso leo dhidi ya schalke 04 katika uwanja wa emirates huku arsenal ikiikumbuka kipigo cha goli 1-0 ilichokipata wikiendi iliyopita dhidi ya norwich city wakati schalke 04 wakitua emirates na kumbukumbu ya ushindi wa goli 2-0 dhidi ya mabingwa mara mbili mfululizo wa bundesliga klabu ya borussia dotmund
No comments:
Post a Comment