kiungo kinda wa klabu ya chelsea oscarn emboaba da silva juniour amesema chelsea ni ``blue brazil`` akilwafananisha the blues na timu ya taifa ya brazil wakali wa samba kwa sasa oscar n mfungaji bora namba mbili wa ligi ya mabingwa ulaya nyuma ya cristiano ronaldo wa real madrid
No comments:
Post a Comment