Friday, November 9, 2012

martin skrtel beki wa klabu ya liverpool ameibuka na kutoa kauli kuwa lazima amzibiti mshambulia wa chelsea fernando jose sanz torres ambaye alikuwa mchezaji wa liverpool kwa kipindi cha nyuma srtel amesema kuwa japo torres hafungi mara kwa mara akiwa chelsea lakin anabakia kuwa mshambuliaji bora ulaya akiwa amechukua rtuzo yz kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora wa ulya maarufu kama euro golden boot liverpool watasafiri mpaka magharibi mwa jiji la london yalipo makao ya chelsea katika uwanja wa stamford bridge kwa ajili ya mchezo utakao fanyika jumapili hii

Martin Skrtel: Aiming to keep former Liverpool team-mate Fernando Torres quiet this weekend

No comments:

Post a Comment