Friday, November 9, 2012

kiungo mchezeshaji wa inter milan wesley sneijder amepigwa marufuku na klabu yake ya inter milan kuhusu matumizi ya mtandao wa kijamii wa twitter kwa maana hiyo sneijder hawezi kuandika lolote kwenye mtandao wake wa twitter iwe kuisapoti au kuikosoa klabu yake

Wesley Sneijder and Yolanthe Cabau

No comments:

Post a Comment