kocha wa newcastle united alan pardew ametamka wazi kuwa anahitaji kumrudisha kikosini nyota wa liverpool aliyekwenda kwa mkopo westham united andy carroll carroll alishindwa kufikia makubaliano ya kubaki st james park majira ya dirisha dogo la usajiri mwaka 2009 na hivyo kutimkia liverpool lakini kwa sasa andy carroll amekuwa na kipindi kigumu anfield jambo lililomfanya meneja wa liverpool brendan rogers kumpeleka kwa mkopo westham kutokana na carroll kutofit katika mfumo mpya wa rogers wa 4-3-3
No comments:
Post a Comment