Friday, November 16, 2012

meneja wa klabu ya manchester city muitaliano roberto mancini ameibuka na kutamka wazi kuwa hana nia ya kumsajili mshambuliaji wa liverpool luis suarez katuka kipindi cha hivi karibuni suarez amekuwa akihusishwa na kujiunga na mabingwa hao watetezi wa ligi ya uingereza katika dirisha dogo la uhamisho la mwezi januari ``tuna washambuliaji wanne katika timu yetu kwa maana hiyo hatuhitaji mshambuliaji mwingine, suarez ni mchezaji wa liverpool hatuna nia ya kumsajili`` alisema mancini katika mkutano na waandishi wa habari alhamisi ya wiki hii.

No comments:

Post a Comment