Friday, November 16, 2012

nyota wa athletico madrid mkolombia radamel garcia falcao ameongeza hamasa kwa klabu ya chelsea katika mbio za kuwania saini yake baada ya kutamka wazi kwamba angependa kujiunga na chelsea mwezi januari,``chelsea ni mabingwa wa ulaya hakuna ubishi juu ya hilo na hata baada ya kuchukua ubingwa wamejiimarisha kwa kusajili wachezaji nyota ningependa kucheza katuika klabu hiyo`` falcao ameifungia athletico magoli 10 katika mechi 10 alizoichezea klabu hiyo katika ligi kuu nchini hispania maarufu kama la liga lakini ujio wa falcao unamhusisha fernando torres kujiunga na klabu yake ya zamani ya athletico de madrid kama sehemu ya uhamisho wa mkolombia huyo

Falcao: Has been linked with a January move to Chelsea

No comments:

Post a Comment