Thursday, November 1, 2012

messi amesema hana ushawishi mkubwa katika kikosi cha fc barcelona kwa siku kadhaa sasa vyombo vya habari nchini hispania vimemuandama messi kwa kile kinachosemekana ni kuwa na ushawishi mkubwa kwa wachezaji wa barcelona nje na ndani ya uwanja lakini messi ameibuka na kupinga madai hayo kwa kusema kuwa wachezaji wenzake ndio wanafahamu yeye ni mtu wa aina gani messi ameliambia gazeti la el mundo deportivo kuwa hajali kelele anazopigiwa na mashabiki kwa kulitaja jina la cristiano ronaldo mara anapogusa mpira akiwa uwanjani.``ni fahari sana kuichezea labu ya fc barcelona sio tu kwa sababu ya mafanikio tuliyonayo lakini hata kutokana na aina ya uchezaji wetu`` amesema messi

Leo Messi, Barcelona-Sevilla

No comments:

Post a Comment