klabu ya chelsea ipo hatarini kuwajibika juu ya kashfa ya ubaguzi wa rangi iliyofanywa na mashabiki wa klabu hiyo dhidi ya mashabiki wa manchester united katika pambano lililomalizika jumatano hii ambapo man united ilipokea kipigo cha goli 5-4 polisi kutoka katika kituo cha metropolitan ndio wanaochunguza sakata hilo
No comments:
Post a Comment