timu za taifa zinajitupa leo katika mechi za kirafiki huku mmacho na masikio mengi yakiwa katika usiku wa ulaya ambako england wanakipiga na sweeden, ujerumani na uholanzi huku hapo kesho brazil watachuana na colombia yenye nyota kama radamel falcao pamoja na rodallega
No comments:
Post a Comment