nguli wa zamani wa klabu ya chelsea didier tebily yves drogba amesema wachezaji wawili cristiano dos santos aveiro ronaldo na lionel andres messi ni wachezaji wa kiwangon cha juu na suala hilo kwake halina ubishi kwani amesema ukitaka kuamini jambo hilo angalia rekodi za wakali hao wa laliga drogba ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa juu ya kuchaguliwa kwake kugombea nafasi ya mchezaji bora wa dunia japo drogba hajataka kuweka wazi nani atampa kura yake kati ya ronaldo na messi
No comments:
Post a Comment