ni vita ya kufa mtu leo katika uwanja wa juventus huko mjini TURIN Italia ambapo mabingwa watetezi wa ligi ya mabingwa ulaya chelsea watakapo menyana na juventus usiku wa jumanne katika mechi ya makundi kufuzu hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa ulayazu
No comments:
Post a Comment