Friday, November 16, 2012

winga wa klabu ya buyern munich na timu ya taifa ya uholanzi Arjen Robben amepatwa na majeruhi ambayo yamemsababishia maumivu ya misuli yatakayo muweka nje kwa muda wa wiki kadhaa Robben amepata maumivu hayo alipo kuwa akiitumikia timu yake ya taifa katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya ujerumani na sasa Robben anatarajia kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya humberg na ule wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya valencia wiki ijayo

Arjen Robben misses chance (Netherlands - Germany)

No comments:

Post a Comment