sergio ramos akiri kutoelwana na kocha wake jose mourinho katika kipindi cha nyuma japo kwa sasa hali ni shwari na mreno huyo maarufu kama the special one ramos aliwekwa bechi katika pambano la ligi ya mabingwa dhidi ya manchester city santiago bernabeu baada ya kusababisha the blancos kufungwa na sevilla mwezi septemba
No comments:
Post a Comment