Friday, November 16, 2012

winga wa tottenham hotspurs gareth bale amesema mchezo wa mwishoni mwa wiki hii dhidi ya arsenal ndio utakaotoa mwongozo kwa klabu hiyo ya jijini london spurs na arsenalzinakutana wikiendi hii kwenye london darby ambapo spurs watasafiri mpaka emirates kuvaana na washika bunduki hao ambao bado wanasuasua katika msimamo wa ligi kuu nchini uingereza

Gareth Bale: Believes the derby is the perfect chance for Spurs to redeem themselves

No comments:

Post a Comment