wakala wa mshambuliaji wa manchester city mario balotelli anayefahamika kwa jina la mino raiola amethibitisha kuwa nyota huyo hawezi kuihama klabu ya man city na kuondoa uvumi kuwa balotelli anaweza kutimkia nyumbani kwao Italia katika klabu ya AC Milan hivi karibuni kumekuwa na tetesi na magazeti mengi ya uingereza yakiandika kuwa kambi ya man city inamuendea vibaya mario balotelli huku baadhi ya wachezaji mbalimbali wakitoa maoni yao juu ya mtukutu huyo wa ETIHAD akiwamo beki wa man united patrice evra aliyedai kuwa balotelli amekumbuka nyumbani
No comments:
Post a Comment