Thursday, October 25, 2012

klabu ya bolton wonderous inayoshiriki ligi kuu nchini uingereza imemthibitisha rasmi dougie freedman kocha wa zamani wa klabu ya cystal palace kama kocha wao mpya hali hiyo imetokea mara baada ya uongozi wa klabu ya bolton kumtimua owen coyle baada ya mwenendo mbaya wa klabu hiyo tangu mwanzo wa ligi

Bolton confirm Dougie Freedman as their new manager


Dougie Freedman: Named Bolton manager

No comments:

Post a Comment