beki wa klabu ya montpellier Mapou Yanga-Mbiwa amesaini mkataba mpya na klabu hiyo ambao ni mabingwa watetezi wa ufaransa mpaka juni 2015 Yanga-Mbiwa ambaye alikuwa anahusishwa na mpango wa kujiunga na klabu za Arsenal, AC Milan pamoja na Newcastle amemaliza uvumi huo kwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili katika klabu yake ya sasa ya montpellier
No comments:
Post a Comment