klabu ya athletico bilbao ya nchini hispania imetoa tamko kuhusu nyota wake wa kimataifa wa hispania fernando Llorente kuwa hauzwi katika kipindi cha usajili cha dirisha dogo mwezi januari Llorente amekuwa akiwindwa na vilabu mbalimbali barani ulaya vikiwemo Juventus, A rsenal pamoja na Tottenham Hotspurs lakini habari ndo hiyo kuwa fernando Llorente hauzwi na Athletico bilibao hawatarajii kununua mchezaji yeyote katika dirisha dogo la uhamisho
No comments:
Post a Comment