Thursday, November 1, 2012

haya ndo majina ya wagombea tuzo ya mchezaji bora wa dunia maarufu kama BALLON D`OR ambapo mchujo utafanyika novemba 29 huko sao paolo ambapo yatabaki majina matatu kabla ya mshindi kutangazwa julai 7 huko zurich nchini uswisi, ushindani mkubwa upo kati ya kristiano ronaldo na lionel messi kwani tayari maneno yashaanza kumwagika kutoka kwa watu mbalimbali akiwamo the only one jose mourinho ambaye yeye amesema tuzo hiyo anastahili cristiano ronaldo wakati pedro rodriguez yeye akisema messi ndio mtu sahihi wa kunyakua tuzo hiyo huku xavi hernandez yeye akisema iker casillas ndio anastahili tuzo hiyo maarufu na yenye heshima kwa wachezaji duniani

BALLON D'OR NOMINEES














































No comments:

Post a Comment