taarifa kutoka katika kambi ya real madrid ni kwamba mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya taifa ya argentina gonzalo higuain atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mzima kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja aliyoyapata katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya dhidi ya borussia dortmund santiago bernabeu siku chache zilizopita kwa maana hiyo higuain atakosa mechi kati ya madrid na athletico bilbao, real betis pamoja na mchezo wa ligi ya abingwa ulaya dhidi ya manchester city
No comments:
Post a Comment