Friday, November 16, 2012

mkongwe wa ufaransa na klabu ya real madrid ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha madrid B Zinedine Zidane amemwagia sifa mshambuliaji wa PSG Zlatan Ibrahimovic kuwa ni mshambuliaji mwenye uwezo binafsi na ana vitu vya ziada ambavyo washambuliaji wengi barani ulaya na dunia kwa ujumla wanavikosa sifa hizo kwa Zlatan zimekuja mara baada ya Ibrahimovic maarufu kama (kadabra) kuwaua uingereza pale alipofunga goli nne pekeyake katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko nchini sweeden

Zidane: Ibrahimovic an extraordinary player

No comments:

Post a Comment